Kwanini Anna Makinda na Mizengo Pinda hawajaweza kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.

Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.

Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
 
Hamna ccm anae kataa cheo labda walipewa masharti makali tu.
 
Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.

Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.

Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Wanajitambua, hauwezi kuwa chini ya mzee mwenzio mkafika. Samia ni mzee anahitaji mtu ambaye badio ana nguvu na wa kumsemea. Wasira hasijidanganye kwamba ananguvu za kuzunguka TZ na kusemea mwenyekiti wake.
 
Sanduku la kagera ndio zuri likifatiwa na Manyara
Sanduku la dar ni chenga
 
kwanza.pinda na makinda hawa ujasiri wao naweza kusema ni asilimia 40 tu. hivyo mtu ambae hana ujasili wa kutosha usimuamini kwenye kukushauli jambo lolote.maana muda ote yeye ni mwenye kutegemea wengine zaidi kuliko kuamua kufanya jambo mwenyewe.na hata aliewapendekeza wawili hawa sijui alifikilia nini.
 
Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.

Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.

Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Dhamira zimewasuta wakikumbuka uhuni uliofanywa na kifua kipana huku mwenyekiti akikaa kimya.
 
Kuna watu wanaridhika, wote wameshalitumikia taifa kwa miaka mingi.

Kama utakumbuka Makinda wakati anaaga bungeni, hatorudi 2016. Kuna mmoja alimtania au Mfindi maji ya shingo. Akamjibu hakuna wa kunisumbua nikitaka kujimilikisha jimbo milele. Utumishi wangu wa umma unatosha ni muda sahihi kwangu kupumzika.

Tibaijuka nae alifanyiwa utani huo huo na majibu yake yalifanana hakuna wa kumsumbua Muleba ila siasa basi tena muda wa kupimzika.

Wassira yeye inaonekana hatosheki na watoto wake wote ni professionals wanaojitegemea.
 
Aiseeee!!
 
Back
Top Bottom