ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Uzushi.Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Labda wanataka kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadomo 😁😁
Mwisho hakuna anaekataaga Cheo hapa Tanzania na ndio maana mnataka Kuuana na kugawana fito huko sembuse CCM kwenye pesa?