Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Asante kwa Taarifa hiiWameona chama linakwenda kufa, lisifie mikononi mwao.
Mwenyekiti kivuli wa CCM ana tabia zote za CCMPia kwanini jana Sultan mbowe alikimbia mdahalo
Swali lako ni zuri sana ila uzi huu hauhusiani na hilo na hatutakujibuPia kwanini jana Sultan mbowe alikimbia mdahalo
Hamna ccm anae kataa cheo labda walipewa masharti makali tu.Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Wanajitambua, hauwezi kuwa chini ya mzee mwenzio mkafika. Samia ni mzee anahitaji mtu ambaye badio ana nguvu na wa kumsemea. Wasira hasijidanganye kwamba ananguvu za kuzunguka TZ na kusemea mwenyekiti wake.Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Tuwekee video mkuuPia kwanini jana Sultan mbowe alikimbia mdahalo
Dhamira zimewasuta wakikumbuka uhuni uliofanywa na kifua kipana huku mwenyekiti akikaa kimya.Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Aiseeee!!Kuna watu wanaridhika, wote wameshalitumikia taifa kwa miaka mingi.
Kama utakumbuka Makinda wakati anaaga bungeni, hatorudi 2016. Kuna mmoja alimtania au Mfindi maji ya shingo. Akamjibu hakuna wa kunisumbua nikitaka kujimilikisha jimbo milele. Utumishi wangu wa umma unatosha ni muda sahihi kwangu kupumzika.
Tibaijuka nae alifanyiwa utani huo huo na majibu yake yalifanana hakuna wa kumsumbua Muleba ila siasa basi tena muda wa kupimzika.
Wassira yeye inaonekana hatosheki na watoto wake wote ni professionals wanaojitegemea.
Ccm imekufaTaarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?