Kwanini Arusha na kuna nini?
Matusi ni kosa la Jinai kwanini wasimyake na kumsimamisha Kizimbani?!

Tena ukionyesha kuwa yeyote atakaetukana matusi ananyakwa Vijana wengi watafuata SHERIA.
Tena na Sheria ipo, ilitungwa na Bunge ikapitishwa na Rais. Cyber crime Act 2015
 
Kijana aliyetekwa katolewa oysterbay Dar es Salaam kapelekwa Arusha, swali ka kujiuliza Arusha kuna nini mpaka mtu atekwe kiharamia apelekwe huko?

Lakin jambo lingine la ajabu who is Sativa? Nina uhakika ukienda mtaani ukiuliza wananchi hakuna anayemjua hata mimi ndio nimemjua jana!

Kama usalama wa taifa unaweza poteza muda na gharama kwa mtu ambaye hata jamii haimjui na hana tishio lolote tunasafari ndefu sana, hizo gharama za kumtoa mtu mpaka Arusha na baadae mpaka Katavi.

====

Pia soma: Sativa kutolewa Dar mpaka Arusha kisha kwenda kutupwa Katavi. Inawezekana aliyefanya utekaji huu ndiye aliyepanga shambulio la Lissu?
Kwa jinsi ulivyo Mnafiki, mbona huulizi kwann umeachwa Katavi
 
HIYO ITAKUWA IMETENGENEZWA NA WABAYA WA YULE RC JASIRI
 
Arusha kuna haramia!
 
Back
Top Bottom