Kama nchi tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika nchi hii. Karibu zaidi ya asilimia 90 ya miradi yote inayotekelezwa katika nchi yetu ni fedha za mikopo huku tukitamba kuwa Mama analeta fedha za miradi kumbe ni fedha nyingi ni za mikopo.
Tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe na tujenge miradi yetu kwa fedha zetu za ndani kuliko kila kukicha ni mikopo ambayo mwishone anayelipa ni mwananchi.
Tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe na tujenge miradi yetu kwa fedha zetu za ndani kuliko kila kukicha ni mikopo ambayo mwishone anayelipa ni mwananchi.