Kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume?

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.

Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.

Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
 
Unataka kumsema Mzee Halima Mdee.
 
Sijasema wote nimesema walio wengi.
Wengine ok wana ndoa ila ndoa zao huwezi ona hata siku moja wamepiga picha hata na hao waume zao wamebakiza tu majina ya kuitwa Mrs.
Hadi Joyce Ndalichako Hana Mume? Tulia Atkson anapiga sana picha na mumewe, Dkt. Gwajima D WhatsApp profile picture yupo na mumewe wamepiga pamoja na ameandika "Na iwe kheri kwako 🤲🏼", hapo vipi?
 
Waenga, tuelezeni na Bibi kidude alikuwa hana Mume
Bibi Titi mohamed alikuwa na Mume pia
 
Wanaume huwa hatujiamini kuwa na strong women
 
Ata mm najiuliza hilo mkuu
 
Kwa hiyo umeanza kuingia kwenye vitanda vya watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…