Kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume?

Unachezea kuwa na mme
Kuna upungufu wa wanaume na demand ni kubwa kuliko supply
 
Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume
Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi

Wanawake Unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni Wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa

bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa
Kadili mwanamke anavyozidi kupanda ngazi kielimu, kiuchumi au kimadaraka ndivyo anavyozidi kupoteza sifa za kuwa mke bora.
 
Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume
Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi

Wanawake Unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni Wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa

bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa
Ningewajua ningeenda nikajaribu bahati yangu !
 
Umefanya utafiti wa sample ya viongozi wangapi wa kike?

Unaposema asilimia kubwa, una maana gani?

Unaweza kuweka data za utafiti wako?
 
Back
Top Bottom