kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Habarini za jioni wakuu?
katika pitapita zangu na uchunguzi wangu wa hapa na pale kutaka kuielewa biashara wanayofanya wadada wanaohudumia watu wenye mahitaji ya kufanya mapenzi.
kwanini hao watoa huduma izo wengi ni wanene? ( vibonge)
Je ni kweli kuwa wanakosa mvuto mtaani hadi wanaamua kunilipua kuuza miili yao?
Je ni kweli kuwa wanaume sikuizi tunajiingiza katika mahusiano serious na vimodels kiasi cha kuwaterekeza vibonge?
njooni ndugu zangu wake kwa waume mtoe maoni yenu wembamba kwa wanene.
Sent using Jamii Forums mobile app