Kwanini asilimia kubwa ya wanawake wanaojiuza ni wanene?

Kwanini asilimia kubwa ya wanawake wanaojiuza ni wanene?

Labda kwa sababu ya extra disposable income kupitia kukodisha miili yao.Je, wanaoacha kujiuza wanapungua unene, kama wapo?
 
Habarini za jioni wakuu?

katika pitapita zangu na uchunguzi wangu wa hapa na pale kutaka kuielewa biashara wanayofanya wadada wanaohudumia watu wenye mahitaji ya kufanya mapenzi.
kwanini hao watoa huduma izo wengi ni wanene? ( vibonge)

Je ni kweli kuwa wanakosa mvuto mtaani hadi wanaamua kunilipua kuuza miili yao?

Je ni kweli kuwa wanaume sikuizi tunajiingiza katika mahusiano serious na vimodels kiasi cha kuwaterekeza vibonge?

njooni ndugu zangu wake kwa waume mtoe maoni yenu wembamba kwa wanene.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chai
 
Dah...kamwe usidanganyike...hakuna sehemu wanapojiuza..hizi ni stori za mjini tu...hata mimi ilikuwa hivyohivyo....niliambiwa..nilizunguka sana na sijawahi kuwaona kabisa [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
Q-bar ushuani, Kimboka Buguruni, Riverside Ubungo, SugerRay Temeke, Meeda Bar Sinza na Corner Bar, Ambiance Sinza, hotel moja maarufu mjini kati Posta (sita itaja) nimewaona kwa macho.
Before nilikuwa siamini nasikia tu na kusoma gazetini.
Note: Mimi siyo mteja wa hiyo biashara.
 
Habarini za jioni wakuu?

katika pitapita zangu na uchunguzi wangu wa hapa na pale kutaka kuielewa biashara wanayofanya wadada wanaohudumia watu wenye mahitaji ya kufanya mapenzi.
kwanini hao watoa huduma izo wengi ni wanene? ( vibonge)

Je ni kweli kuwa wanakosa mvuto mtaani hadi wanaamua kunilipua kuuza miili yao?

Je ni kweli kuwa wanaume sikuizi tunajiingiza katika mahusiano serious na vimodels kiasi cha kuwaterekeza vibonge?

njooni ndugu zangu wake kwa waume mtoe maoni yenu wembamba kwa wanene.

Sent using Jamii Forums mobile app
The higher the demand, the higher the supply
 
Back
Top Bottom