Kwanini asilimia kubwa ya wanawake wanaojiuza ni wanene?

Kwanini asilimia kubwa ya wanawake wanaojiuza ni wanene?

wapo classic lakini au jau tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna classic na local, kinacho determine ni mfuko wako mzee. Kuna mademu wa bei pale mtoto mbichimbichi unaunganishwa naye tena mademu wengine wanatokeaga IFM na DUCE! Niliwahi kutana na demu mmoja mchana maeneo ya Uwanja wa Taifa akiwa anaelekea DUCE asee alinikimbia nikawa nacheka tu[emoji23].
Wale mademu wanasaidia sana kusema ukweli, kikubwa kuvaa kondomu.

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
hauna ata namba yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za jioni wakuu?

katika pitapita zangu na uchunguzi wangu wa hapa na pale kutaka kuielewa biashara wanayofanya wadada wanaohudumia watu wenye mahitaji ya kufanya mapenzi.
kwanini hao watoa huduma izo wengi ni wanene? ( vibonge)

Je ni kweli kuwa wanakosa mvuto mtaani hadi wanaamua kunilipua kuuza miili yao?

Je ni kweli kuwa wanaume sikuizi tunajiingiza katika mahusiano serious na vimodels kiasi cha kuwaterekeza vibonge?

njooni ndugu zangu wake kwa waume mtoe maoni yenu wembamba kwa wanene.

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa mifano hai
 
Nikiri waz hapa dar mm ni mgen cz rasmi nimeanza life hapa mjini 2010.Kipindi hik chote mwenze u sijawahi kushuhudia machangaduoa a.k.a wanaojiuza mabarabarani mbali ya kuwaona kwenye picha za magazeti na mitandao
Dah...kamwe usidanganyike...hakuna sehemu wanapojiuza..hizi ni stori za mjini tu...hata mimi ilikuwa hivyohivyo....niliambiwa..nilizunguka sana na sijawahi kuwaona kabisa [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom