kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
- Thread starter
- #21
chura na unene ni tofauti mkuuMimi hata sijui nipo upande gani.
Nikimuona demu mwenye chura namtamani, nikimuona mwembamba pia natamani vile vile.
Kwa kifupi sichagui. Kama gari ya Shamba!
Sent using Jamii Forums mobile app