Kwanini asilimia kubwa ya wanawake wanaojiuza ni wanene?

Kwanini asilimia kubwa ya wanawake wanaojiuza ni wanene?

Mara nyingi Maumbo ya mwili yanajengwa na tabia.
Sasa mdada hataki kujishughulisha/mvivu, anataka hela haraka haraka tena kwa starehe na sio kufanya shughuli rasmi, anakunywa bia karibia daily, analala sana mchana. Hajali Maisha yake.

Utaacha kunenepa?
 
mtoto wa kiume unakuja na maswali ya kipumbavu unataka jiuza weye....mchagua nyama sio mwindaji..we piga mbupu tu tukifika hatujiulizi
 
Nitumie link mkuu nijiunge huko aisee
Mtoa mada sjui umewaza nini wale wanaotega pale chimbo la kahumba ni mabonge nyanya ila ukishaongozwa na kichwa cha chini ndo unawakuta mabaharia wanaenda kununua baharia mwembamba haogop afya yake anabeba li scania

Wale mabaharia wa telegram wenyewe wanajua kule kuna mabonge kama yote nawaonaga wengine mkiperuzi kule na majina ya I'd zenu za humu [emoji3] ila sio mbaya tunasafisha macho ...na usisubutu kuniomba link sina link mi nilijikuta unkown living specie ameni add wa humu hata simjui kule kuna mabonge sjui shida ni nini au labda ni uvivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom