Hata mimi siwakubali kabisa, nikimuona mwanamke mnene nasikia kinyaaMimi na mwanamke.mnene mbali mbali aisee....hata kama anachura akishakuwa na likitambi basi tenaa
Kwa sababu ni wavivu, hawataki kufanya kazi wanaamua kutumia njia ya mkato. Na pengine huwa wananenepa wakishajiingiza kwenye hiyo biashara, mtu hana stress...anawaza tu kufanya ngono apate kula
Sent using Jamii Forums mobile app
ubaguzi huo mkuuMimi na mwanamke.mnene mbali mbali aisee....hata kama anachura akishakuwa na likitambi basi tenaa
mpka umenitisha mkuu duh!Hata mimi siwakubali kabisa, nikimuona mwanamke mnene nasikia kinyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
safi sana umeongea pointKwa sababu ni wavivu, hawataki kufanya kazi wanaamua kutumia njia ya mkato. Na pengine huwa wananenepa wakishajiingiza kwenye hiyo biashara, mtu hana stress...anawaza tu kufanya ngono apate kula
Sent using Jamii Forums mobile app
na ni wajuaji balaaaaWameridhika na maisha yao waliojichagulia,wanakula sana nyama na bia ,.mpaka wananenepeana
Mbona kimboka wapo vi portableHabarini za jioni wakuu?
katika pitapita zangu na uchunguzi wangu wa hapa na pale kutaka kuielewa biashara wanayofanya wadada wanaohudumia watu wenye mahitaji ya kufanya mapenzi.
kwanini hao watoa huduma izo wengi ni wanene? ( vibonge)
Je ni kweli kuwa wanakosa mvuto mtaani hadi wanaamua kunilipua kuuza miili yao?
Je ni kweli kuwa wanaume sikuizi tunajiingiza katika mahusiano serious na vimodels kiasi cha kuwaterekeza vibonge?
njooni ndugu zangu wake kwa waume mtoe maoni yenu wembamba kwa wanene.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh kuanzia landmark mpaka sheli pale
Sio ubaguzi mkuu...hawanibambii kabisa yaani
Eeh kuanzia landmark mpaka sheli pale