Baikije
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 876
- 1,219
Kuna dada ulitongoza? Kwa hiyo ww ni ke au me?Ukimtomgoza akatae ndo weee [emoji849] Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe[emoji26]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dada ulitongoza? Kwa hiyo ww ni ke au me?Ukimtomgoza akatae ndo weee [emoji849] Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe[emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo mkuu,kwani Kuna ubaya? Hata Ivo nimechoka kuchat kikikekike mkuu[emoji849]
Ukitaka kuhakikisha zaidi asemacho mtoa mada tembelea masjara ya mkuu wa wilaya Nyamagana- Mwanza,, pale kuna lundo la maneno machafu na ukali usio sababu yupo mama mmja mbaya mkologo umedunda alafu nahisi ana ukimwi yule maninaa zake.Ukitaka kuhakikisha akisemacho mtoa mada, tembelea masjara ya mkuu wa mkoa Tanga.
Kweli kabisa vitabu vitakatifu havijakosea katika kutoa muongozo wa swala hili.Ufeminist ni aina flani ya ushetani wanapandikiziwa, kupindua mpango alioweka Mungu. Mwanaume siku zote ni mtawala sasa wao na haki sawa ndio inawapa kiburi na dharau na kuona wanaume hatuna lolote.
Duh JF ni kiza kinene!Ukimtomgoza akatae ndo weee 🙄 Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe😥
Hali hii ni mbaya sana na inauma sana mtu yakikukuta ,mimi ilifika wakati kutokana na kadhia hii kusema moyoni kuwa "nikipata hela ni kuhama na nchi kwani mambo ya hovyo yamezidi kiwango sasa yaani unyenyekee kama unaona uhai"Ukitaka kuhakikisha zaidi asemacho mtoa mada tembelea masjara ya mkuu wa wilaya Nyamagana- Mwanza,, pale kuna lundo la maneno machafu na ukali usio sababu yupo mama mmja mbaya mkologo umedunda alafu nahisi ana ukimwi yule maninaa zake.
Hakuna ubaya mkuu, maana Dunia ishapinduka hii.🙌🙌🙌🙌Ndiyo mkuu,kwani Kuna ubaya? Hata Ivo nimechoka kuchat kikikekike mkuu🙄
Tena kakiri kabisa kuwa alimtongozaDunia inaenda kasi
Siku hizi nikiingia ofisi yupo mwanamke sicheki nao kabisa akizingua na mimi nazingua hasa.Hali hii ni mbaya sana na inauma sana mtu yakikukuta ,mimi ilifika wakati kutokana na kadhia hii kusema moyoni kuwa "nikipata hela ni kuhama na nchi kwani mambo ya hovyo yamezidi kiwango sasa yaani unyenyekee kama unaona uhai"
Nadhani ukosefu wa elimu na malezi mabovu wengi wao ni form 4 failure. Madem waliopiga kitabu km vle madaktari hawana nyodo za kijingajingaHakuna ubaya mkuu, maana Dunia ishapinduka hii.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Tatizo ni wanaume wenyewe kuyokujielewa.tuache kusingizia vitu ambavyo vimesababishwa na sisi wenyewe kutojitambua.Ufeminist ni aina flani ya ushetani wanapandikiziwa, kupindua mpango alioweka Mungu. Mwanaume siku zote ni mtawala sasa wao na haki sawa ndio inawapa kiburi na dharau na kuona wanaume hatuna lolote.
Kwa Madaktari naweza kukusapoti kwa asilimia 80%mpaka 90% kwa sababu kwa upande huo nimekutana na watumishi wanawake wakarimu sana kama ndugu yako wa kuzaliwa pamoja jinsi wanavyohudumia na upole wao,pengine labda kwa vile wapo katika kitengo kinachohitaji huruma sanaNadhani ukosefu wa elimu na malezi mabovu wengi wao ni form 4 failure. Madem waliopiga kitabu km vle madaktari hawana nyodo za kijingajinga
Nasapoti kwa asilimia zote ,kwani haitokei kuharibika kwa mfumo wowote ila sababu kuu inakuwa kuna upande haujatimiza majukumu yao inavyopaswa pamoja na kukosekana kwa ushirikino.Tatizo ni wanaume wenyewe kuyokujielewa.tuache kusingizia vitu ambavyo vimesababishwa na sisi wenyewe kutojitambua.
Hapo nimekusoma ingawa wapo wenye elimu ndogo na wanajitambua kwenye majukumu yao ya kiutumishi.Nadhani ukosefu wa elimu na malezi mabovu wengi wao ni form 4 failure. Madem waliopiga kitabu km vle madaktari hawana nyodo za kijingajinga
Shika sana ulichonacho mkuuHakuna ubaya mkuu, maana Dunia ishapinduka hii.🙌🙌🙌🙌