Kwanini asisifiwe Mwananchi anayelipa kodi inayotekeleza miradi ya kitaifa?

Mkuu
Unapoona kuna kitu kinaitwa TUME YA MIPANGO. fahamu hapo ni full mbinu mbinu
 
Nchi ya Kusadikika hii
 
Hua najiuliza siku nikipata fursa ya kuonekana runingani kupongeza utekelezaji mradi, badala ya kumshukuru kiongozi yeyote nikisema nashukuru walipa kodi wenzangu, kuna watu watakwazwa?
Kodi tunazolipa hatuzipi uzito unao stahili. Nina hakika wafanyakazi wengi hawajui wanachangia kodi kiasi gani kwa mwezi au kwa mwaka ingawa wanakatwa katika mishahara yao.
Wakulima ndio kabisa, hata hawaamini kama wanachangia chochote.
Kundi pekee wanajua wanalipa kodi kiasi gani ni wafanya biashara.
Ndio maana hata kupambania haki zetu tupo kama hatupo.
 
Mimi nimewahi ona kwenye TV TRA wakiwapongeza walipakodi kwa kuwapa tuzo mbalimbali na na hata website yao niliona picha.
 
Ccm inawageuza wananchi wajinga.....wanajua kila kitu.
 
Kwa CCM Hii ya wahuni na majambazi ambao kazi waliobakinayo ni kuiba kila kitu yaani fedha ,kura za wananchi,hawa huwezi tarajia kwamba Eti wataheshimu wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…