Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
Nimepatwa na mshangao leo na joto lote hili la Da-es-Salaam hawa askari wa jeshi la magereza ambao humsindikiza Tundu Lissu mahakamani na kusimama mle, bila haya wa soni huvalia matambara usoni kuficha nyuso zao kwa muda wote wa kesi inavyoendelea.
Ni nini hii kuficha aibu, kuona haya, kuogopa umati wa watu mahakamani au kuwaogopa wageni kutoka nje ya nchi? Kama ni kuficha maovu tiyari wote hutenda maovu na si siri.
Hata kuna wakati Tundu Lissu alitaka kikaratasi cha reference na mmoja wa askari hawa kwa madoido akataka kusoma kiloandikwa mle kisha akampatia Tundu Lissu aendelee na kujitetea mwenyewe mahakamani.
Je, hawa ni sehemu kubwa ya jeshi maalum la kulinda mamlaka kwa gharama yoyote ile, je ni JWTZ au JKT au polisi au TISS au ni auxiliary force?
Ni sababu ipi ya msingi inowafanya askari Magereza hawa wavalie matambara usoni kuficha nyuso zao?