Kwanini Aslay anapenda mno kujilambalamba, kurembua na kupinda shingo akiwa anaongea?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kinachonisikitisha kwa huyu Kijana ni kwamba kila ninapoona akifanyiwa Interview akiwa pamoja na Nandy naona Confidence ya Nandy ipo juu maradufu ya Aslay na kuna wakati navutiwa kumtizama na kumsikiliza Nandy kuliko Aslay. Kwa Mtoto wa Kiume kuzidiwa Kujiamini ( Confidence ) na Mtoto wa Kike ni hatari sana na si dalili njema ya Urijali wake wa hapo baadae.

Nauliza tena ni kwanini Mwanamuziki Aslay akiwa anaongea anapenda mno Kujilambalamba, Kurembua macho na Kupinda Shingo na mara nyingi anaonekana kama ni Mtu anayejishtukia Kitu fulani ana aibu ya Kinafiki?

Nawasilisha.
 
Ndio Swaga zake vijana wanasema!

Hiyo style ya kulamba lips naona vivulana vingi bya kuanzia 2010 ndio style Yao! Labda ajitokeze Mmoja aje atupe ushuhuda
 
Ndio Swaga zake vijana wanasema!

Hiyo style ya kulamba lips naona vivulana vingi bya kuanzia 2010 ndio style Yao! Labda ajitokeze Mmoja aje atupe ushuhuda

Sasa Mkuu kwa tabia zao hizo za Kujilambalamba, Kurembua na Kujilegeza huwa wanatupa sana taabu Sisi Wahenga tuliozaliwa hii Mikoa ya Pwani kwani huwa tunahisi kama vile wanatushawishi kwenda Kinyume dhidi ya Maandiko ya Mwenyezi Mungu. Abadilike tafadhali vinginevyo huko mbele tusijelaumiana.

Mtoto wa Kiumeni kabisa utajilambalamba na kurembua vipi?
 
Sijawahi kumuona akijilamba ila huenda yupo sokoni....... anatafuta watejaa
 
Dawa yao ni kuwabomoa tu,
mtoto wa kiume analegea,anarembua na kunata mithili ya binti anayetongozwa
hawajitambui.
 
Nimeangalia saa bado ni Asubuhi. Ngoja niendelee na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…