GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kinachonisikitisha kwa huyu Kijana ni kwamba kila ninapoona akifanyiwa Interview akiwa pamoja na Nandy naona Confidence ya Nandy ipo juu maradufu ya Aslay na kuna wakati navutiwa kumtizama na kumsikiliza Nandy kuliko Aslay. Kwa Mtoto wa Kiume kuzidiwa Kujiamini ( Confidence ) na Mtoto wa Kike ni hatari sana na si dalili njema ya Urijali wake wa hapo baadae.
Nauliza tena ni kwanini Mwanamuziki Aslay akiwa anaongea anapenda mno Kujilambalamba, Kurembua macho na Kupinda Shingo na mara nyingi anaonekana kama ni Mtu anayejishtukia Kitu fulani ana aibu ya Kinafiki?
Nawasilisha.