Kwanini Aslay anapenda mno kujilambalamba, kurembua na kupinda shingo akiwa anaongea?

mziki bongo upo ICU unapumulia mashine...!!
 
Ndio Swaga zake vijana wanasema!

Hiyo style ya kulamba lips naona vivulana vingi bya kuanzia 2010 ndio style Yao! Labda ajitokeze Mmoja aje atupe ushuhuda
Hata diamond pia nimemuona juzi wakati anaongea na media pale kisutu anajilamba midomo kama demu
 
Swaga hizo mkuu,mwache anapendeza pia akiwa hivyo...unataka akaze shingo kisa nini lakin?
 

omba usife ukaacha wanao wa kiume ambao mama yao naye akafa ....akawaacha teenagers
 
Kuna watu on JF the image I perceive about their intellect is rated high only to find out that I am totally wrong; and the fact is that they are very pathetic as judged from their posts, mara oh Salim Kikeke, mara nani and you name it all
 
Ukitaka kupima ulijali wake, mpelekee demu wako. Kunakajamaa mtaan kalikuwa kanapenda sn kuongea na vischana af kanajipenda hadi kanapitiliza, enzi cc tulikua tunajiita wagumu au wasolidi yaani makauzu, ss yeye tukawa tunamuona shoga. Zikaanza tafrani kitaa, watu wanagongewa madem zao, mm nikagongewa sister. Toka hapo cwez mdharau mwanaume mwenzangu hata km shoga kweli, arufuku kuzoeana na wife. Mtu km Bob Junior au Qchila walivokuwa wanajiweka af useme
sio malijali! Utakuja kulia. Kuna wakongo mjini wanajipodoa mademu hawaon ndani, sikia stor zao, wengine wabajifanya wanaremba madada hehehe, zngine hulka tu wala haziondoi uwanaume wa mtu
 
Mkuu kuna vitu mtu unafanya ili kuondoa uoga mbele za watu but it happen on sport without intetion, Wengine hawajazoea kuhojiwa au wanaogopa mike, ndo utaona anafanya Old School behaviour unaweza shangaa huyu vipi kumbe hajielewi, jaribu uende kumuhoji wewe uone atafanyaje

>Mind your own beeswax let mid his
 
Wewe kama ni mwanaume bhasi HUNA MARINDAAAAAA....Kama wa kikee unampendaaa na kumtamani
 

Kitaalam katika Journalism Technical Jargons hiyo hali tunaiita Mic Fright and Camera Fever Mkuu ila kwa huyu Dogo nahisi kuna tatizo la Kibaiolojia.
 
Maskini Tanzania yetu...watu wamegeuka wambea, wanaume kwa wanawake. Ngoma droo! btw, mwanaume unaanzaje ku-report umbea kama watoto wa kike? kazi mnafanya saa ngapi?I don't get it! Mleta thread kama siyo KE, basi Una vinasaba vya KE! ...Haiwezekani story zake zote ni za kipunga punga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…