Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata diamond pia nimemuona juzi wakati anaongea na media pale kisutu anajilamba midomo kama demuNdio Swaga zake vijana wanasema!
Hiyo style ya kulamba lips naona vivulana vingi bya kuanzia 2010 ndio style Yao! Labda ajitokeze Mmoja aje atupe ushuhuda
du et bahati mbayaWasanii wengi wanagongwa mkuu, me mwenyewe nishamla mmoja kwa bahati Mbaya, ,haifai tu kuweka adharani
Wasanii wengi wanagongwa mkuu, me mwenyewe nishamla mmoja kwa bahati Mbaya, ,haifai tu kuweka adharani
Kinachonisikitisha kwa huyu Kijana ni kwamba kila ninapoona akifanyiwa Interview akiwa pamoja na Nandy naona Confidence ya Nandy ipo juu maradufu ya Aslay na kuna wakati navutiwa kumtizama na kumsikiliza Nandy kuliko Aslay. Kwa Mtoto wa Kiume kuzidiwa Kujiamini ( Confidence ) na Mtoto wa Kike ni hatari sana na si dalili njema ya Urijali wake wa hapo baadae.
Nauliza tena ni kwanini Mwanamuziki Aslay akiwa anaongea anapenda mno Kujilambalamba, Kurembua macho na Kupinda Shingo na mara nyingi anaonekana kama ni Mtu anayejishtukia Kitu fulani ana aibu ya Kinafiki?
Nawasilisha.

Wewe kama ni mwanaume bhasi HUNA MARINDAAAAAA....Kama wa kikee unampendaaa na kumtamaniKinachonisikitisha kwa huyu Kijana ni kwamba kila ninapoona akifanyiwa Interview akiwa pamoja na Nandy naona Confidence ya Nandy ipo juu maradufu ya Aslay na kuna wakati navutiwa kumtizama na kumsikiliza Nandy kuliko Aslay. Kwa Mtoto wa Kiume kuzidiwa Kujiamini ( Confidence ) na Mtoto wa Kike ni hatari sana na si dalili njema ya Urijali wake wa hapo baadae.
Nauliza tena ni kwanini Mwanamuziki Aslay akiwa anaongea anapenda mno Kujilambalamba, Kurembua macho na Kupinda Shingo na mara nyingi anaonekana kama ni Mtu anayejishtukia Kitu fulani ana aibu ya Kinafiki?
Nawasilisha.
mtoto atakuwa sio rizik yule
Mkuu kuna vitu mtu unafanya ili kuondoa uoga mbele za watu but it happen on sport without intetion, Wengine hawajazoea kuhojiwa au wanaogopa mike, ndo utaona anafanya Old School behaviour unaweza shangaa huyu vipi kumbe hajielewi, jaribu uende kumuhoji wewe uone atafanyaje
>Mind your own beeswax let mid his
Ben Ten.Ndio Swaga zake vijana wanasema!