G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hicho kuwa wenyeviti. Awamu hii hali ni tofauti kabisa.
Sisi awamu hii kama Chadema tunamuhitaji Lissu ila wao CCM wamebadili gear angani wanamhitaji Mbowe kwa udi na uvumba mpaka kupenyeza rupia.
Hii maana yake ni nini? Au ndo matokeo ya kinachosemwa asali zilizogawanywa wakitaka waendelee kulipwa malipo ya asali zao? Awamu hii kimeumana. Ni ama Chadema ibaki Mbowe astaafu kwa heshima au Mbowe na CCM wabaki Chadema ielekee kuleeeee...! Ngoja sasa nielekee kwa Mh. Mbowe nikajaribu na mimi kumsihi labda nitapata picha kamili.