Kwanini awamu hii CCM inamhitaji zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema?

Kila wakikumbuka Masauni alivyonusuriwa na Mzee Mbowe kuchezea kichapo Wanaona heri Tu Mzee Mbowe awe Mwenyekiti. Lissu siku ile Ingekua yeye angeacha iwe jino kwa jino. Mbowe amewasaidia Sana CCM kuepusha mauwaji
 
Wewe ya chadema yanakuwasha nini? Mwaka huu mnalo na bado kuanzia mwakani
Mimi sio CHADEMA, ila Nakupa fact's, wewe huna facts ,zaidi ya vionjo na mihemko yako!!!

Watu walio na wakati mgumu kuhusu Lissu Kugombea bni CCM, hasa CHIEF HANGAYA πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…
 
yaani CCM inaipenda Chadema?Tangu lini?

Ukiona CCM inampenda Mbowe basi mtu sahihi wa Chadema hapo ni Lissu

This is shame unakaa hapa kuitetea CCM eti mtu atakae wafaa,wakati inatakiwa mtu asiewafaa ndio tumchague
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…