johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA.
Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?
Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba!
Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?
Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?
Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba!
Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?