Kwanini Awamu ya Tano wananchi waliridhika na hawakutaka kabisa kusikia habari za Katiba Mpya?

Kwanini Awamu ya Tano wananchi waliridhika na hawakutaka kabisa kusikia habari za Katiba Mpya?

Una kichaa, kwa takwimu zipi? Watu walikuwa wanaogopa kusema maana wangeliuawa, wangelipotezwa, wangelibambikiwa kesi, wangelifilisiwa biashara zao, wangelitekwa na mengine mengi y KUHtrisha uhai wao! Hili jitu hili hapa chini wacha Mungu aliondoe!
Ifute hii mkuu, ni too gross
Tusiweke ubinadamu pembeni hata kama hatukubaliana nae
 
Awamu ya tano ilikiri kabisa kwamba mambo ya katiba mpya hayakuwepo kwenye ilani yao kwa hiyo kidogo ikapunguza kelele
 
Mkuu

Yule alikuwa katiba mwenyewe!

Maamuzi yake HAYAKUJALI katiba hii,hata SHERIA zilizopo aliona zinachelewesha maamuzi yake,katiba ikawa yeye!

Ndio maana Baada ya kuona hivyo wenye nchi WANANCHI wanaitaka ili ajaye asiharibu!!

ACHA waipate mpya ,itawasaidia kumwajibisha ajaye akiivunja!

Ya sasa hata akiivunja hakuna wa kumwajibisha ATAFANYA atakavyo Hadi kudra za mwenyezi ziamue zenyewe!
Alikuwa dikteta muuaji dhalimu. Kuna wakati utafika atakapotangazwa rasmi kuwa alikuwa kiongozi dhalimu, mwizi, dikteta na muuaji. Sawa na ilivyofanyika kwa dikteta Stallin.

Stallin, baada ya miaka 13 tangu kufa kwake, ndipo ulifanyika mchakato wa kumtangaza rasmi kuwa alikuwa kiongozi mwovu, na mwili wake uliokuwa umehifadhiwa pembeni ya Lenin, uliondolewa na kwenda kutupwa kusikojulikana. Lazima kuna siku kutakuwa na mvhakato rasmi wa kumtangaza dikteta Magufuli kuwa alikuwa kiongozi mwovu. Kwa kawaida jambo hilo hufanyika kukiwa kumekusanywa kumbukumbu zote za uovu wake.
 
We ukiwa umekwidwa koo unaweza kuongea?
Kinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA.

Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?

Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba!

Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?
 
Walikuwa wanatishwa wala siyo kuwa waliridhika
 
Kinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA.

Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?

Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba!

Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?
Kwa yaliyoendelea awamu ya tano umuhim wa katiba mpya ulionekana waz kbs... Rais kufananishwa na mwenyezi, watu kumuabudu nayeye kufurahia, matumizi ya pesa yaidhinishwa nayeye. Marufuku kupeleka maendeleo kwa waliochagua upinzani!!
 
Kinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA.

Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?

Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba!

Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?
Mfuate huko kuzimu usitupigie kelele hapa mbwiga wewe
 
Ifute hii mkuu, ni too gross
Tusiweke ubinadamu pembeni hata kama hatukubaliana nae
najua sana it is very nasty, very disturbing and inhumane, BUT lakini huyu aliua watu wangi! where is ben Saanane, Azory Gwanda, Alphonce mawazo , maiti za kwenye sandarusi , MKIRU killings and many many other killings. Leo eti tusiweke ubinadamu pembeni, NEVER, a big NEVER tutamsema mpaka basi na huko Mungu amhukumu kifo mpaka anyongwe afe! johnthebaptist
 
Wananchi gani? Misukule ya jiwe,?
Misukule ya jiwe ilidhani Jiwe ni mungu na ataishi milele, sasa hivi ndio inaona umuhimu wa kuwepo kwa taasisi imara
Na majizi pia aliwakomesha kabla hamjafa,na sasa mmejaa nyongo na mateso yanayoendelea bila Majibu!
 
Watanzania ni wajinga, hata hiyo katiba mpya bado haitasaidia kitu, enforcer wa katiba ni Mahakama, ila mahakama zetu zimejaa ujinga sana.

Hii nchi inabidi ccm iondolewe
 
Back
Top Bottom