Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Unaanzaje kumlamkamikia gaidi mimi mwananchi wa kawaida? Nawaogopa watu wasiojulikana. Alipokufa gaidi na watu wasiojulikana wakapotea. Namzungumzia Gadhafi wa LibyaKinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA.
Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?
Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba!
Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?