johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata hapo Ufipa st mliunga Mkono juhudi kwa maelfuWananchi gani? Misukule ya jiwe,?
Alilia Katiba au?Lissu aliiliia akatandikwa risasi
Ndio wapi huko?Hata hapo Ufipa st mliunga Mkono juhudi kwa maelfu
Kinondoni shambaNdio wapi huko?
Una kichaa, kwa takwimu zipi? Watu walikuwa wanaogopa kusema maana wangeliuawa, wangelipotezwa, wangelibambikiwa kesi, wangelifilisiwa biashara zao, wangelitekwa na mengine mengi y KUHtrisha uhai wao! Hili jitu hili hapa chini wacha Mungu aliondoe!Kinachoshangaza Katiba Pendekezwa hata haijapigiwa kura tayari Wapinzani wameanza Mchakato wa Katiba nyingine hasa wale Chadema
Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?
Katiba Pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano wengine wanasema wanataka ya Warioba
Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?
Mods ondoeni Hiyo picha ya baba Retired!Una kichaa, kwa takwimu zipi? Watu walikuwa wanaogopa kusema maana wangeliuawa, wangelipotezwa, wangelibambikiwa kesi, wangelifilisiwa biashara zao, wangelitekwa na mengine mengi y KUHtrisha uhai wao! Hili jitu hili hapa chini wacha Mungu aliondoe!
Najua inakera sana picha kama hiyo! Siyo nzuri hata kidogo, lakini Wacha ikukere maana hata wewe ulishiriki uovu huo! as long as ulimuunga mkono utawla wake wa kidhalimu!Mods ondoeni Hiyo picha ya baba Retired!
uliwahoji wangapi?Kinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA.
Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?
Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba!
Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?
Kinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA.
Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?
Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba!
Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?
Simba wa Yuda ndo sababu kubwa..!!!Kinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA.
Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?
Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba!
Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?
WangetumbuliwaUna kichaa, kwa takwimu zipi? Watu walikuwa wanaogopa kusema maana wangeliuawa, wangelipotezwa, wangelibambikiwa kesi, wangelifilisiwa biashara zao, wangelitekwa na mengine mengi y KUHtrisha uhai wao! Hili jitu hili hapa chini wacha Mungu aliondoe!
Katiba mpya Ni nonesense Kama ccm wataendelea kuwepo madarakaniKinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA.
Sasa tutakuwa na Katiba ngapi?
Katiba pendekezwa, Katiba ya Mkandala, Katiba ya Maridhiano, wengine wanasema wanataka ya Warioba!
Mbona awamu ya 5 hatukusikia hizi harakati?
Jifanyie tathmini unapooga yawezekana unatisha kuliko huyo fazako!Najua inakera sana picha kama hiyo! Siyo nzuri hata kidogo, lakini Wacha ikukere maana hata wewe ulishiriki uovu huo! as long as ulimuunga mkono utawla wake wa kidhalimu!
Hadi 2025 utaboreka sana! Kwetu mtaji mbwiga weweYou are boring. Na hauchekeshi. Pia umekuwa mzee Sasa punguza utoto.
Inafikirisha!Katiba mpya Ni nonesense Kama ccm wataendelea kuwepo madarakani