Kwanini Awamu ya Tano wananchi waliridhika na hawakutaka kabisa kusikia habari za Katiba Mpya?

Una kichaa, kwa takwimu zipi? Watu walikuwa wanaogopa kusema maana wangeliuawa, wangelipotezwa, wangelibambikiwa kesi, wangelifilisiwa biashara zao, wangelitekwa na mengine mengi y KUHtrisha uhai wao! Hili jitu hili hapa chini wacha Mungu aliondoe!
Ifute hii mkuu, ni too gross
Tusiweke ubinadamu pembeni hata kama hatukubaliana nae
 
Awamu ya tano ilikiri kabisa kwamba mambo ya katiba mpya hayakuwepo kwenye ilani yao kwa hiyo kidogo ikapunguza kelele
 
Alikuwa dikteta muuaji dhalimu. Kuna wakati utafika atakapotangazwa rasmi kuwa alikuwa kiongozi dhalimu, mwizi, dikteta na muuaji. Sawa na ilivyofanyika kwa dikteta Stallin.

Stallin, baada ya miaka 13 tangu kufa kwake, ndipo ulifanyika mchakato wa kumtangaza rasmi kuwa alikuwa kiongozi mwovu, na mwili wake uliokuwa umehifadhiwa pembeni ya Lenin, uliondolewa na kwenda kutupwa kusikojulikana. Lazima kuna siku kutakuwa na mvhakato rasmi wa kumtangaza dikteta Magufuli kuwa alikuwa kiongozi mwovu. Kwa kawaida jambo hilo hufanyika kukiwa kumekusanywa kumbukumbu zote za uovu wake.
 
We ukiwa umekwidwa koo unaweza kuongea?
 
Walikuwa wanatishwa wala siyo kuwa waliridhika
 
chadema kwani wana katiba yao? wanaifuata??
 
Kwa yaliyoendelea awamu ya tano umuhim wa katiba mpya ulionekana waz kbs... Rais kufananishwa na mwenyezi, watu kumuabudu nayeye kufurahia, matumizi ya pesa yaidhinishwa nayeye. Marufuku kupeleka maendeleo kwa waliochagua upinzani!!
 
Mfuate huko kuzimu usitupigie kelele hapa mbwiga wewe
 
Ifute hii mkuu, ni too gross
Tusiweke ubinadamu pembeni hata kama hatukubaliana nae
najua sana it is very nasty, very disturbing and inhumane, BUT lakini huyu aliua watu wangi! where is ben Saanane, Azory Gwanda, Alphonce mawazo , maiti za kwenye sandarusi , MKIRU killings and many many other killings. Leo eti tusiweke ubinadamu pembeni, NEVER, a big NEVER tutamsema mpaka basi na huko Mungu amhukumu kifo mpaka anyongwe afe! johnthebaptist
 
Wananchi gani? Misukule ya jiwe,?
Misukule ya jiwe ilidhani Jiwe ni mungu na ataishi milele, sasa hivi ndio inaona umuhimu wa kuwepo kwa taasisi imara
Na majizi pia aliwakomesha kabla hamjafa,na sasa mmejaa nyongo na mateso yanayoendelea bila Majibu!
 
Watanzania ni wajinga, hata hiyo katiba mpya bado haitasaidia kitu, enforcer wa katiba ni Mahakama, ila mahakama zetu zimejaa ujinga sana.

Hii nchi inabidi ccm iondolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…