Kwanini Awamu ya Tano wananchi waliridhika na hawakutaka kabisa kusikia habari za Katiba Mpya?

Unaanzaje kumlamkamikia gaidi mimi mwananchi wa kawaida? Nawaogopa watu wasiojulikana. Alipokufa gaidi na watu wasiojulikana wakapotea. Namzungumzia Gadhafi wa Libya
 
Kwa sababu kwenye awamu ya tano ilikuwa inatumika katiba mpya🐒
 
Na majizi pia aliwakomesha kabla hamjafa,na sasa mmejaa nyongo na mateso yanayoendelea bila Majibu!
Na tutawatesa sana, mliona sifa kutisha wananchi wanapokuwa wanakosoa serikali na kupora nguvu taasisi za kudhibiti serikali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…