Kwanini Ayatollah Khamenei anaogopa kupanda ndege?

Kwanini Ayatollah Khamenei anaogopa kupanda ndege?

Hakuwahi kusali public miaka 5 nyuma wala kuongoza salah , juzi hapa kweny vugu vugu ndio kasali nje tena kwa kutangaza siku tatu nyuma ....Israel anawajua vizuri Iran ndio maana hawezi kulipua sehemu yoyote ile .

Apande ndege aende wapi? na alishapanda sana , unavyomuona ana mkono mmoja mbovu ndio kiongozi pekee alikoswa kuuliwa na bado akaendelea kuhutubia ...

Mifumo ya wenzetu mkuu kabisa hazunguki , kwao kuna Rais , kule Israel kuna waziri mkuu kama India nyie hapa bongo ndiyo wazee wa jaramba kama mnaenda harusini ..

Ni kiongozi wa pili au wa tatu kwa umri mkubwa duniani .
 
Kama Biden anaanguka hovyo na kuongea na hewa lakini ni mdogo kwa Khamenei...

Kwa afya yake kutokana na umri alio nao sidhani kama ni kiongozi anaye paswa kuwa na mambo mengi.

Ndio maana Biden kasimama campaign, afya na umri havimruhusu.
 
Lakini,Biden anatumia ndege kwa usafiri mpaka leo.
Biden hayupo katika cheo alichopo Khamenei.
Rais wa US ziara za hapa na pale zinamhusu, Iran ipo kwenye sanctions toka 1970s..

Ikitokea ziara ya kwenda Lebanon hawezi kwenda Khamenei...
Watakwenda mawaziri ama rais.

Biden mwenyewe na ndege kuwepo lakini ziara za uchaguzi kashindwa kumaliza.

Hivyo kwa umri wa Khamenei au Biden ni wazee inapaswa wakae watulie na wapate muda wa kupumzika la sivyo ni hatari kwao.
 
Utetezi wako nimeukataa bila kuendelea kutoa sababu.
 
viongozi wengi wa Hesbullah na Iran ni mababu. Hawana cha kupoteza. Kim wa NK ndio muogq ile wale jamaa naona kama hawana hofu kabisa.
 
Yaani kupambana na Israel utateseka Sana
Hata simu anatumia za mwaka 70 huko(game la nyoka)😀
 
Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
We kichaa kweli akiwa anapanda ndege lazima akupigie simu anapanda ndege 😄 We unaijua Iran ilivyo kubwa kwa hio kwingine akienda anaenda na na gari zile zakupiga jeki sio.

Hilo taifa la kupandikizwa na muingereza mnalita Israel ni kubwa kwako tu na kama unamini linaona kila kitu tazama hi video anapiga Super market kwenye mkusanyiko wa viduka tuambieni sasa Pepsi au makopa ya mafuta au michele na unga ndio Missiles hizo 😄

Mwambieni atuonyeshe hapo silaha ziko wapi. Maneno ya Hezbullah ni kweli kabisa, hawezi kupigana na sisi anakimbilia wavunjia raia majumba, kuuwa watoto na wanawake ili watu wamuogope. Vita haviwezi leo Gaza mwaka mzima hakushinda na Lebanon ataishia piga majumba tu hawezi kuwaface Hezbullah au Hamas.

View: https://youtube.com/shorts/9dEQjsEvTWg?si=Aon_J8GlGM7af7mh
 
Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
Hao ni hatari kuliko anavyowajua, arejee walichomfanyia Arafat
 
Unakaza fuvu ila sababu zimetolewa.
Khomeini ni kiongozi mkuu wa dini huko Iran.
Ana sababu zipi za kuzunguka kama utakavyo wewe!?
Acha bange mkuu.
Niache bange kwani nimeishika?Kwa hiyo huwa anakaa ndani tu au hutumia punda?
 
Back
Top Bottom