Kwanini Ayatollah Khamenei anaogopa kupanda ndege?

Kwanini Ayatollah Khamenei anaogopa kupanda ndege?

Mnataka apande ndege aende wapi kufanya nn? Mada ya kitoto kabisa nahisi meingia jukwaa la watoto
 
Mkuu ukisikia umbea usio na maana ndio huu ,mnataka aishije ? Watembee aende wap? Kwenye kampeni au kuzindua barabara?
Unajisumbua aisee kwa maswali yako.Ukiwa serious sana utapata high blood pressure bure!🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom