Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Oct 17, 2024 #61 The branding said: So unataka tutoe R. I. P in advance? 🤣🤣 Click to expand... Jamaa alikosea jina. Jina la kiongozi aliyepo, ye kaandika la aliyepita, niivo tu yaani.
The branding said: So unataka tutoe R. I. P in advance? 🤣🤣 Click to expand... Jamaa alikosea jina. Jina la kiongozi aliyepo, ye kaandika la aliyepita, niivo tu yaani.
zous JF-Expert Member Joined Sep 25, 2017 Posts 3,152 Reaction score 5,854 Oct 17, 2024 #62 Moisemusajiografii said: Lakini,Biden anatumia ndege kwa usafiri mpaka leo. Click to expand... Kwani unataka aende wapi ?
Moisemusajiografii said: Lakini,Biden anatumia ndege kwa usafiri mpaka leo. Click to expand... Kwani unataka aende wapi ?
zous JF-Expert Member Joined Sep 25, 2017 Posts 3,152 Reaction score 5,854 Oct 17, 2024 #63 Moisemusajiografii said: Niache bange kwani nimeishika?Kwa hiyo huwa anakaa ndani tu au hutumia punda? Click to expand... Mkuu ukisikia umbea usio na maana ndio huu ,mnataka aishije ? Watembee aende wap? Kwenye kampeni au kuzindua barabara?
Moisemusajiografii said: Niache bange kwani nimeishika?Kwa hiyo huwa anakaa ndani tu au hutumia punda? Click to expand... Mkuu ukisikia umbea usio na maana ndio huu ,mnataka aishije ? Watembee aende wap? Kwenye kampeni au kuzindua barabara?
zous JF-Expert Member Joined Sep 25, 2017 Posts 3,152 Reaction score 5,854 Oct 17, 2024 #64 Mnataka apande ndege aende wapi kufanya nn? Mada ya kitoto kabisa nahisi meingia jukwaa la watoto
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Oct 17, 2024 #65 zous said: Mkuu ukisikia umbea usio na maana ndio huu ,mnataka aishije ? Watembee aende wap? Kwenye kampeni au kuzindua barabara? Click to expand... Unajisumbua aisee kwa maswali yako.Ukiwa serious sana utapata high blood pressure bure!🤣🤣🤣
zous said: Mkuu ukisikia umbea usio na maana ndio huu ,mnataka aishije ? Watembee aende wap? Kwenye kampeni au kuzindua barabara? Click to expand... Unajisumbua aisee kwa maswali yako.Ukiwa serious sana utapata high blood pressure bure!🤣🤣🤣