Kwanini Azam tv mnatangaza kuonesha mechi za AFCON lakini hamuoneshi??

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
4,806
Reaction score
5,347
Nauliza Azam tv kwanini mnatuwekea matangazo kuwa mtaonesha mechi za kufuzu AFCON lakini hamuoneshi??

kwanini?? nawauliza swali?
cc
PNC
 
Hicho king'amuzi ni bure kabisa tofauti na kilivyokuwa miaka ya 2012.

2017 nilinunua tena hicho king'amuzi nilikaa nacho mwezi mmoja tu na kukiuza kwa hasara.

Startimes ni full HD screen displays na imejaa action movies, tamthilia na inaonesha michuano ya EPL Jmosi, La Liga, Bundes Liga, Serie A, Europa league, michuano yote ya Africa na hata Ulaya.

Startimes mvua inyeshe isinyeshe ni kuburudika tu wala dishi lao halikati kati kama la Azam.
 
Startimes wanaonyesha EPL??..England Premier League??..Tokea lini?
 
startimes bado sana mkuu kwa azam tv
 
kuna mwana alinambia startimes kumenoga sana, ila sijaprov bado
 
Startimes wanaonyesha EPL??..England Premier League??..Tokea lini?
Rejea nilivyoeleza awali kuwa Startimes wanaonesha EPL Jmosi na huwa ni mechi 1 tu, kweli umeshindwa kunielewa hoja nyepesi namna hiyo? Basi TZ tuna safari ndefu sana kufikia nchi ya asali na maziwa.
 
Hicho king'amuzi ni bure kabisa tofauti na kilivyokuwa miaka ya 2012.

2017 nilinunua tena hicho king'amuzi nilikaa nacho mwezi mmoja tu na kukiuza kwa hasara.

Startimes ni full HD screen displays na imejaa action movies, tamthilia na inaonesha michuano ya EPL Jmosi, La Liga, Bundes Liga, Serie A, Europa league, michuano yote ya Africa na hata Ulaya.

Startimes mvua inyeshe isinyeshe ni kuburudika tu wala dishi lao halikati kati kama la Azam.
Chanel gn inaonyesha Epl ndan ya Startime?
 
Back
Top Bottom