Kwanini Azam tv wanairudia mechi ya Azam vs Biashara United siku moja kabla ya mechi ya Simba vs Biashara United?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mpaka naogopa Mimi sasa, mechi ya Azam vs Biashara United ilichezwa wakati Simba Iko kwenye majukumu ya kimataifa. Kesho Simba inacheza na Biashara United. Leo Azam tv inafanya marudio ya mechi hiyo.

Hii Ina maana gani? Ni ombi maalumu au ni utaratibu wa Azam tv?
 
Kuna kosa lolote kwani? Au kuna kanuni inazuia?
 
Kawaida Sana hiyo Azam tv huzirudia mechi nyingi.usihofu mtaalam.
 
Mpaka naogopa Mimi sasa, mechi ya Azam vs Biashara United ilichezwa wakati Simba Iko kwenye majukumu ya kimataifa. Kesho Simba inacheza na Biashara United. Leo Azam tv inafanya marudio ya mechi hiyo.

Hii Ina maana gani? Ni ombi maalumu au ni utaratibu wa Azam tv?
Kaka kwan kibaya kipiiiiii
 
Post za kipuuzi hizi,unachitaka kusema ni ni?!
Simba wakitaka kuiona hiyo mechi ,no lazima ionyeshwe kwenye Tv! au unasemaje Uto.
 
Kiwembe kilichotumika kumnyolea Azam fc ndo hicho hicho kitatumika kumnyolea kolo fc
 
Back
Top Bottom