Kuna kosa lolote kwani? Au kuna kanuni inazuia?Mpaka naogopa Mimi sasa, mechi ya Azam vs Biashara United ilichezwa wakati Simba Iko kwenye majukumu ya kimataifa. Kesho Simba inacheza na Biashara United. Leo Azam tv inafanya marudio ya mechi hiyo.
Hii Ina maana gani? Ni ombi maalumu au ni utaratibu wa Azam tv?
Kaka kwan kibaya kipiiiiiiMpaka naogopa Mimi sasa, mechi ya Azam vs Biashara United ilichezwa wakati Simba Iko kwenye majukumu ya kimataifa. Kesho Simba inacheza na Biashara United. Leo Azam tv inafanya marudio ya mechi hiyo.
Hii Ina maana gani? Ni ombi maalumu au ni utaratibu wa Azam tv?