Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila mtu akaja hapa duniani na talanta yake ndugu, wewe fanya kwa bidii hadi pale uwezo wako unafikia, hapo ndipo uliumbwa napo, usijilinganishe san ana wengine. labda kama una uwezo kama wao.Kwanini baadhi ya watu wanakuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi yani unaweza kukutana na mtu ana vipaji vingi ukastaajabu na uwezo wake aliojaaliwa?
Labda jibu liko hapo.......uwezo wake aliojaaliwa?
Nephilim ndo nn?Sio binadamu hao ni NEPHILIM
Kenge wa bluu.Nephilim ndo nn?
"Akili zao hazina mawenge"
Half demon.Nephilim ndo nn?
NakuelewaSio binadamu hao ni NEPHILIM
Tunawatambuaje?Half demon.
Sio wazembe wanajituna nakugundua uwezo waoKwanini baadhi ya watu wanakuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi yani unaweza kukutana na mtu ana vipaji vingi ukastaajabu na uwezo wake aliojaaliwa?
Jibu sahihi. Ongeza na matumizi ya muda.