Kwanini baadhi ya vijana wanao kua walimu sekondari, hujitahidi kua na mahusiano na wanafunzi wao?

Shamuse_bey

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2026
Posts
467
Reaction score
601
Habari ndugu wa jf, hili linaonekana mara nyingi kwa baadhi ya watu walio pitia shule na hata ambao hawakupitia, ila nikwamba walimu wa kiume mashuleni kwenye swala la kuchagua sketi wako vizuri na sijui huwa wanafanyaga hivi tena kwa wanafunzi hali ya kua wana wake zao majumbani tena wazuri tu.
 
ufuska/umalaya tu....
 
Back
Top Bottom