Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 601
ufuska/umalaya tu....Habari ndugu wa jf, hili linaonekana mara nyingi kwa baadhi ya watu walio pitia shule na hata ambao hawakupitia, ila nikwamba walimu wa kiume mashuleni kwenye swala la kuchagua sketi wako vizuri na sijui huwa wanafanyaga hivi tena kwa wanafunzi hali ya kua wana wake zao majumbani tena wazuri tu.
na kama kungekua na degree basi wangekua wakwanza kuzipata.ufuska/umalaya tu....
SAHIHI MKUUna kama kungekua na degree basi wangekua wakwanza kuzipata.
sawa nimekupata hapoooh.SAHIHI MKUU