Kwanini baadhi ya viongozi wa dini Elimu zao ni ndogo?

Kwa Elimu gani kwanza walizonazo? Hizo elimu zao zimebadilisha nini cha maana? Ukweli ni kwamba kila akija rais Muislam ndio wanamuandama zaidi. Na huo udini wakiufanya wao sawa, ila Waislam ndio kosa kwao huo udini.
Jamaa vilaza sana, hawako well informed kwenye mambo mengi wala hawaelewi dunia inaelekea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…