Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Huwa najiuliza kwanini huwa wanajiondoa katikati ya kesi huku wakiwa wameshachukua fedha za mtuhumiwa au mlalamikaji? huwa nina maswali kadhaa
1. Je, wanakuwa wameona kuwa hawatashinda keshi hivyo huwalazimu kujitoa ili wasionekane baadhi ya kesi huwa wanashindwa?
2.Je, huwa wanaendelea kupokea kesi zingine za kusimamia hivyo huwalazimu kuachana na
zingine?
3. Je, huwa wanapata kesi zenye fedha nyingi hivyo kuacha kushughulikia kesi zenye hela ndogo?
4. Je, huwa wanaangalia mbele kuna hatari ya wao kudhalilishwa na taaluma zao?
5. Je, huwa ni msukumo wa vitisho kumuonya aachane na kesi vinginevyo atafanyiwa kitu mbaya?
Nauliza tu