Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wanawake wenu?

Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wanawake wenu?

Ndomana Hua mnchapiwa Kwa mentality hii
Ukienda kufanya umalaya huko unakojua, sipati hasara mimi, sio mwili wangu unaoenda kuzibuliwa matundu, sio mwili wangu unaoenda kuvuliwa nguo na wanaume wasiokujali eti kisa tuu anakusifia una tako zuri.

Yaan unaacha mwanaume nyumbani anayekujali anayekupenda unaenda kugawa k×ma kwa mwanaume ambaye hata ukiumwa hajui unatibiwa wapi.

The lose is on you.
 
Sometimes tunawaza tukiwasifia sana tutawapa kichwa alafu mtaanza kutupanda kichwani.
Shida iko hapo, ila wa nje huwa tunamwaga sifa kedekede kabla hujamnasa, ukimnasa nae mwendeo ni uleule mikausho mikali.

Akiwa ni mpenda sifa basi ataliwa na wengi, maana kwa kusifia tu kabla hujapewa tunda, utasifia mpaka akijamba.
 
Good evening JF,

Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wake zenu, wachumba zenu au wapenzi wenuu?...unakuta mwanamke ni mzurii au una kitu kizurii mwilini mwako labda mguu, jicho, nywele chaajabu mwanaume wake hamsifii yaani hata kusema "you are beautiful" hakuambiii ukipendeza hakuambiii hata siku ukapost picha nzuri hakuambii.

Unakuta unasifiwa na watu wengine tuu wanaume wengine tuu ndio wanakusifia, wanawake wenzangu wananielewa haka kafeeling ka kutosifiwa na mwanaume wako Ila unasifiwa na wanaume wengine.
Ok!...tutajifunza kusifia.
 
Kwa maana sio kitu kipya utakesha ukisubiri usifiwe na uliyenaye mwanaume akishamvua mtu kiupi basi hakusifi hata ujiue
Yeah
Akitaka kusifiwa bas atabadilisha wanaume kila siku, ukiona mwanaume anakusifia sana ujue bado hajaujua/kuuzoea mwili wako
 
Reciprocal- kutendana

Watu unaokuwa nao mara nyingi huwa wapo static so ni wewe kuwafanya kuwa dynamic

Mfano ukiona mtu akusifii anza kumsifia wewe

Ukiona MTU akusalimii anza kumsalimia wewe

Na ukiona MTU hakupi hela anza kumpa wewe.

Hii ndo njia ya ku-catch attention ya MTU yeyote unayemtaka .

Then kuna utofauti wa sex mate -MTU mnayeshirikiana kufanya ngono pamoja

Na soulmate -MTU mliyeunganishwa na UPENDO.

So unabidi kujua MTU wako ni sexmate or soulmate !
What if you do that and in return he takes you for granted or taking advantage of you
 
Back
Top Bottom