Good evening JF,
Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wake zenu, wachumba zenu au wapenzi wenuu?...unakuta mwanamke ni mzurii au una kitu kizurii mwilini mwako labda mguu, jicho, nywele chaajabu mwanaume wake hamsifii yaani hata kusema "you are beautiful" hakuambiii ukipendeza hakuambiii hata siku ukapost picha nzuri hakuambii.
Unakuta unasifiwa na watu wengine tuu wanaume wengine tuu ndio wanakusifia, wanawake wenzangu wananielewa haka kafeeling ka kutosifiwa na mwanaume wako Ila unasifiwa na wanaume wengine.