ooh!watu na mr man zao
Ukienda kufanya umalaya huko unakojua, sipati hasara mimi, sio mwili wangu unaoenda kuzibuliwa matundu, sio mwili wangu unaoenda kuvuliwa nguo na wanaume wasiokujali eti kisa tuu anakusifia una tako zuri.Ndomana Hua mnchapiwa Kwa mentality hii
Babu hi yaani 🤩😘😘😛😋😍🥰 makope kama yoteeee mwa mwaaa thank you for this opportunity too.Basi ngoja mimi nimsifie SweetyCandy hata kama siyo mke/mchumba/mpenzi wangu!
wangu ananisifia bado 🌚au ananipamba hajakinai bado😂😂😂Kwa maana sio kitu kipya utakesha ukisubiri usifiwe na uliyenaye mwanaume akishamvua mtu kiupi basi hakusifi hata ujiue
Leo kakosa michepukoNimetoka kusifiwa muda sio mrefu.
Live long my Mr. man
Mkiwa naye sio mkiwa na watu sindioo ukiona akikusifia anahitaji kituwangu ananisifia bado 🌚au ananipamba hajakinai bado😂😂😂
Shida iko hapo, ila wa nje huwa tunamwaga sifa kedekede kabla hujamnasa, ukimnasa nae mwendeo ni uleule mikausho mikali.Sometimes tunawaza tukiwasifia sana tutawapa kichwa alafu mtaanza kutupanda kichwani.
Ok!...tutajifunza kusifia.Good evening JF,
Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wake zenu, wachumba zenu au wapenzi wenuu?...unakuta mwanamke ni mzurii au una kitu kizurii mwilini mwako labda mguu, jicho, nywele chaajabu mwanaume wake hamsifii yaani hata kusema "you are beautiful" hakuambiii ukipendeza hakuambiii hata siku ukapost picha nzuri hakuambii.
Unakuta unasifiwa na watu wengine tuu wanaume wengine tuu ndio wanakusifia, wanawake wenzangu wananielewa haka kafeeling ka kutosifiwa na mwanaume wako Ila unasifiwa na wanaume wengine.
Leo kakosa michepuko
YeahKwa maana sio kitu kipya utakesha ukisubiri usifiwe na uliyenaye mwanaume akishamvua mtu kiupi basi hakusifi hata ujiue
VizuriOk!...tutajifunza kusifia.
What if you do that and in return he takes you for granted or taking advantage of youReciprocal- kutendana
Watu unaokuwa nao mara nyingi huwa wapo static so ni wewe kuwafanya kuwa dynamic
Mfano ukiona mtu akusifii anza kumsifia wewe
Ukiona MTU akusalimii anza kumsalimia wewe
Na ukiona MTU hakupi hela anza kumpa wewe.
Hii ndo njia ya ku-catch attention ya MTU yeyote unayemtaka .
Then kuna utofauti wa sex mate -MTU mnayeshirikiana kufanya ngono pamoja
Na soulmate -MTU mliyeunganishwa na UPENDO.
So unabidi kujua MTU wako ni sexmate or soulmate !
Mpenzi aliyekuacha bila taarifa karudi ?Ndomana Hua mnchapiwa Kwa mentality hii
Hatujaachana Kuna changamoto alipataMpenzi aliyekuacha bila taarifa karudi ?
Ahsantee same hereMiss Mariaah mambo? Napenda muandiko wako, silali bila kuangalia Avatar yako, nakuzimia kichizi yan.
Yuko wapi huyo Mr.....😹Nimetoka kusifiwa muda sio mrefu.
Live long my Mr. man