MchungajiMakini
Senior Member
- Apr 4, 2008
- 191
- 1
hili la g-string sina tatizo nalo hata mimi. Napenda tu kusikia shuhuda kama je kuna baadhi kweli hawavai kabisa na kwa nini?
mmmmmhhhh im free now lol
do u want me to bring any thing ?????? lol
Unakumbuka nilikuahidi kukuletea ya 2010 ?Basi naomba unisamehe maana kila ninakopitapita nakutana na hali kama inayojadiliwa hapa inaonekana wameacha kabisa kuzivaa,ila nivumilie bado naitafuta nikiipata nitakuwekea
Heee! Hii thread bado inaendelea kumbe?
I can see that.
kwakweli inategemea na nguo niliyovaa zat day kuna nguo nyengine huitaji chupi jamani,nani kasema chupi lazima?mm nikiwa hme sina safari ya kwenda huwa sivai kabisaaaa,maana nataka fresh air
....
tunasherehekea new chart room:whoo::whoo:Imekuwaje tena?
vp mbn unanicopy na kunipaste?sivai unabisha?
Kila nikifikiri kukutembelea nyumbani kwako......sibishi....!