Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

hili la g-string sina tatizo nalo hata mimi. Napenda tu kusikia shuhuda kama je kuna baadhi kweli hawavai kabisa na kwa nini?

lakini superman hizi shuhuda kwanza uliwahi kuulizia kwa wazee wako kuanzia mabibi mpaka.....

Isije ukawa ulimuona supergirl hakuvaa chupi unasema mtu mwengine?
 
mmmmmhhhh im free now lol
do u want me to bring any thing ?????? lol

Unakumbuka nilikuahidi kukuletea ya 2010 ?Basi naomba unisamehe maana kila ninakopitapita nakutana na hali kama inayojadiliwa hapa inaonekana wameacha kabisa kuzivaa,ila nivumilie bado naitafuta nikiipata nitakuwekea
 
topic :closed_2:

Sijui hi avatar amevaa?
avatar21903_4.gif
 
Kwani kazi ya kufuli nini kama sio westeji wa matiriozi tu ambayo yangeweza kutumika kwa kitu kingine? mfano, kufuli linauzwa elfu 15 na utalivaa ndani hakuna atakayeliona zaidi yako na mwenzio, ni la nini? kwa nini usiache geografia yako ikapata hewa safi??? usiku mwema
 
Heee! Hii thread bado inaendelea kumbe?
 
Unakumbuka nilikuahidi kukuletea ya 2010 ?Basi naomba unisamehe maana kila ninakopitapita nakutana na hali kama inayojadiliwa hapa inaonekana wameacha kabisa kuzivaa,ila nivumilie bado naitafuta nikiipata nitakuwekea

mmmmhhh ni nhuyo mmja tu havaagi lakini mi naamini ya 2010 ipo haahahh lol
nway no rush , no pressure take ur time i will still be here waiting for it lol
 
kwakweli inategemea na nguo niliyovaa zat day kuna nguo nyengine huitaji chupi jamani,nani kasema chupi lazima?mm nikiwa hme sina safari ya kwenda huwa sivai kabisaaaa,maana nataka fresh air
 
kwakweli inategemea na nguo niliyovaa zat day kuna nguo nyengine huitaji chupi jamani,nani kasema chupi lazima?mm nikiwa hme sina safari ya kwenda huwa sivai kabisaaaa,maana nataka fresh air

avatar20061_10.gif
....
 
Mambo ya kupunga upepo hayo jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom