Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Kila nikifikiri kukutembelea nyumbani kwako......sibishi....!

Mkuu, angalia usalama wa maisha yako.

Asiyejua kufa na achungulie kaburi.

Unaweza pia ukafanya google search kuangalia case kama hizo waliojaribu waliishi?

LOL
 
eeeeh nyumbani kwangu tena?ili kuhakikisha?jamani nimesema sivai au nipige picha nikutumie?

Hapana usipige picha....picha nshapiga mwenyewe.....najiuliza incase nikikutembelea homu kwako.......dah....
Mkuu, angalia usalama wa maisha yako.

Asiyejua kufa na achungulie kaburi.

Unaweza pia ukafanya google search kuangalia case kama hizo waliojaribu waliishi?

LOL

Hahahaaaa......unavaa helmeti kabisa mkuu...
 
hawapendi kuvaa chupi kwa kuwa wanaogopa mistari ya chupi itaonekana kwenye suruali zao c unajua suruali zenyewe huwa ni laini mno,wengine wanapenda kuvaa skin tighty....
 
Majungu hayo leta picha hapa ndo tujadili mada hii!
Mkuu unamaanisha jamaa alichukua mpaka picha !!! au picha iliishia kwenye retina yake mwenyewe ndo maana anajaribu kuiumba ..
 

mhhh! Huyu ni mgonjwa au??
hao wenye kunyevuka hadi kulowa bila sababu ni wagonjwa... mwanamke asiye mgonjwa hapaswi kuloweka kivile hadi alazimike kuvaa chupi au kizuio!
 
Inawezekana ikawa hivyo? Sijamhisi huyu mdada hata siku moja kama ana tabia hizo. Ni dada ambaye kikazi yuko makini wala hana mwekeo kama ana tabia za kihuni


Na kwa tabia hii ndo huwakamata wengi; kila mtu anamwona ni msiri na asiye na uchu................kaa mkao wa kuliwa soon!
 
Hata baadhi ya wanaume hawavai! Hebu itafute na uiangalie "Couples Retreat" its a comedy movie directed by Peter Billingsley. U will love it mwanaume hana chupi
 
Hili la G-String sina tatizo nalo hata mimi. napenda tu kusikia shuhuda kama je kuna baadhi kweli hawavai kabisa na kwa nini?

The only time I don't wear chupi is when I am in a jeans trouser hasa kipindi cha joto.
 
huo ni wizi wengine hupenda kuchanua kuwatega wanaume
 
Superman umenisukuma katika hatua ingine ya kwenda kuuliza ni kwa nini baadhi ya kina mama hawavai chupi wakiwa nje ya nyumba zao. Ni majuzi tu niliwakuta wanawake wawili maeneo ya kazini kwao wanacheka na hasa mmojawao. kwa vile mmoja wao ilikuwa rahisi kumuuliza kulikoni au walikuwa wananicheka. Nikajibiwa hapana lakini yule mwenzie ambaye alikuwa katoka hakuvaa chupi na alikuja pale kumuonyesha rafikie. sikua mdadisi. sasa ngoja nizamie katika utafiti huu. sehemu hii sio ya joto ni ya baridi kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…