Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

muhuni huyo,
inarahisisha kupata 'quickie',,,na bosi wake, au wakati wa lunch.....:redfaces:

Kwa hiyo wewe unapohitaji 'quickie' huwa uvai 'kufuri'? Hivi hujui ilo 'kufuri' laweza sogezwa kidogo tu na shughuli kuendelea bila kuliondoa?
 
yawezekana chupi ya huyo mdada ilipata mushkeli kidogo akawa kaivua na kuisuuza then akaianika ili aivae baada ya muda kidogo.ila swala la kwenda ofisini bila chupi kabisa kwa mwanamke ni gumu sana.maumbile yao hayaruhusu kushinda kutwa nzima bila chupi

Kuna baadhi ni kweli hawavai chupi ila oil ikivuja kidogo wakwenda WC. Hiyo niliwahi kusikia Clouds Dina Marios na wenzie wakijadili.
 
mmmhhh kwakweli..
unajua saa nyingine tunavaa guo zilizo tight sana ..
na hatutaki miraba ya chupi ionekane....
kwa hiyo tunavaa skin tight au G-strings....
hiyo yakutokuvaa chupi kabisa mchana na unaenda kazini duuuhhh hii ni mpya sijawahi sikia....

Naomba ujaribu kesho halafu utuambie tofauti na faida au hasara zake. Kama unavaa kiuzi, ukikitoa utaona tofauti kweli?
 
Kwa Nini Baadhi Ya Wanawake Hawavai Chupi
Wana Forum;

Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .

Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.

Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:

Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
Du Mwana! hukupiga chafya???

Ni kamtindo fulani hivi kwa feminists, wenyewe wauita "Commando", kutembea bila chupi. Ni mtindo umeenea sana miji mikubwa ya africa mashariki, kina dada wale wasomi na feminists. Jibu lao ni kwamba hali ya joto yetu hii kama DAR, haifai kuvaa chupi, ni kuiga kimangaribi, kwanza joto, pili unaumiza hukoooo kwa mafangas na bakteria. Mwisho, si kina dada pekee hata kina Mameni pia!!!
 
Heee! Hii thread bado tu iko Live!?
 
Ila kuna chupi siku hizi G string zinazama ndani, nimemwambia my GF sizipendi, maana is like zina zinatekenya mashine, pili mm napenda pia kama
mwanamke kaumbika azungurushe makalio bana, chupi usumbufu, mara skin tight, shida tupu, bakini wazi kama Wasai wanawake, unaambiwa mwanamke wa kimasai akitaka hata kukojoa anapanua tu miguu huku kasimama utasikia sshhhrrrrrrrrrhhhrrrrrr, kashamaliza kazi, na chupi zivaliwe wakati wa hedhi tu, period
 
Heee! Hii thread bado tu iko Live!?

nakwambia Vyupi, chupi, kufuli, underwear, G-string ( mm nafikiri wangeita G-spot string wazungu bana) wanawake wengi hawavai chupi ndio maana mada haiishi, hadi wakubali hapa JF, ili tujue chupi ni usumbufu, inapunguza ashki, wasivae, na tutoe magazetini
 
It wasnt meant for you pengine......................bodi langweji hahahah
 
Not clear . . .

I meant kuwa she didnt mean to show you thats why alishtuka alipoona umemchungulia ........and yupo alokuwa amemfanyia kusudi hilo mambo ya body language hayo....... just joking bana
 
Itakuwa joto kali sana hiyo sehemu akaamua kupunga upepo
 
I meant kuwa she didnt mean to show you thats why alishtuka alipoona umemchungulia ........and yupo alokuwa amemfanyia kusudi hilo mambo ya body language hayo....... just joking bana

LOL . . sikumchungulia jamani wala sikufanya effort yoyote nimwone . . . hata ingekuwa ni wewe unaingai ungemwona tu . . .
 
Back
Top Bottom