muhuni huyo,
inarahisisha kupata 'quickie',,,na bosi wake, au wakati wa lunch.....:redfaces:
yawezekana chupi ya huyo mdada ilipata mushkeli kidogo akawa kaivua na kuisuuza then akaianika ili aivae baada ya muda kidogo.ila swala la kwenda ofisini bila chupi kabisa kwa mwanamke ni gumu sana.maumbile yao hayaruhusu kushinda kutwa nzima bila chupi
Majungu hayo leta picha hapa ndo tujadili mada hii!
mmmhhh kwakweli..
unajua saa nyingine tunavaa guo zilizo tight sana ..
na hatutaki miraba ya chupi ionekane....
kwa hiyo tunavaa skin tight au G-strings....
hiyo yakutokuvaa chupi kabisa mchana na unaenda kazini duuuhhh hii ni mpya sijawahi sikia....
Wana Forum;
Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .
Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.
Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:
Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
Sasa tujadili vitu bila ushahidi?akileta picha tunatathimini ukubwa nakutoa sababu za kutovaa chupi!
Mmh! Mi natamanigi nivae hata mbili ili "kindunde" changu kisionekane.
akirudia mara mbili tu ramani ya afrika maeneo ya K inahamia kwenye jeans, tena kwa naksh nyeupe ya utoko
mh mama punguza ukali wa maneneo, tumia tafsida
Heee! Hii thread bado tu iko Live!?
Not clear . . .
I meant kuwa she didnt mean to show you thats why alishtuka alipoona umemchungulia ........and yupo alokuwa amemfanyia kusudi hilo mambo ya body language hayo....... just joking bana