abduel paul
Senior Member
- Nov 23, 2010
- 133
- 5
Jamani mbona jana nilituma sababu za Kwanini Hawa hawavai hupi? Any way sasa kwa wale vijana ambao wamo kwenye hii JF nawashauri nanyi msivae, huu ni ushauri wa kitabibu kabisa, inasaidia Dungu kuwa na nafasi na kuongozeka urefu, na kuzifanya seli zake kutokufa kwa ni chupi zina changia joto kali ambalo lina madhara, kesho na kesho kutwa labda unatoka kitambi shock imeshatoka vizuri basi unashindwa hata kujiona mwenyewe, nn sbb imedumaa, na Mama naye? anajikausha tu kumbe asikilizii chochote, so hii nadhani kwao pia ina maana fulani.

what you are saying is true....
Acheni hoja zenu jamani! hvi kweli unakaa uchi kisa et unaogopa joto?? sio mila zetu bana, lazima tukufikirie kua unataka mtu au matabia zako ni mbofumbofu.
Suprman hapo ulikua unaoneshwa bidhaa.kazi kwako kukubali au kutosa.
Majungu hayo leta picha hapa ndo tujadili mada hii!
LOL . . sikumchungulia jamani wala sikufanya effort yoyote nimwone . . . hata ingekuwa ni wewe unaingai ungemwona tu . . .
mmmh..... jaman kama kweli dunia inaelekea mwisho
Ha ha ha ha ha Dre bana!!chupi ya nini? Kwan we hupendi urahisi wa mambo?
mmmmhhhhh
picha ambayo unayo kichwani inatosha...
maana anaweza kukuonyeshea ya huyo dada ukaacha kula wiki...lol
Wana Forum;
Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .
Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.
Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:
Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?