Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

kwani chu*i ina nini cha ajabu isianikwe nje? Hujui inahitaji kupigwa na jua then ipigwe pasi ivaliwe ikiwa kabu na salama......

Hivi ukiziona zimetundikwa kariakoo unashtuka??????
 
Hebu kuwa mkweli. Huwa una unapiga pasi kofuli zako?
kwani chu*i ina nini cha ajabu isianikwe nje? Hujui inahitaji kupigwa na jua then ipigwe pasi ivaliwe ikiwa kabu na salama......

Hivi ukiziona zimetundikwa kariakoo unashtuka??????
 
Hapa ni mwendo wa Chukuchuku.
Pichu inatia joto bhana.
Ila me naona halina ulazima wa kulificha ficha ili iweje?
Fua,tundika open space japo kuna ma-men wengine huweza kuvutia hisia kufuli lako.
Labda kwa wanaume maana nackiaga,
nanukuu Nackiaga huwa Hamvai.
Mkiuliza eti kuna Boxer!!!
 
Nimekumbuka lile lako la njano ulilokuwa unalianika toilet.... Lilikuwa linaniongezea nguvu ya kujamiiana na sabuni.

kwi kwi kwi kwi halafu si lilikuwa limetoboka? kwi kwi kwi kwi......
 
The secretary,naomba uwe unanifulia za kwangu.
 
Last edited by a moderator:
bikini mi sizipendi, nikivaa naona kama kuna kitu kinanichokonoa. Sijui ni ushamba!

Shost zina raha yake,
ackwambie mtu.
Hata kama uko single,
ukizivaa tu,unahs 'umeegemewa nalo' yale mambo yetu.
Ila kwa Walioolewa,
NOO!!!
Mtajifunza U-Camerun.
"MSININUKUU VIBAYA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…