Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Niko my darling..... ila nna ukurutu waweza kuja kuniogesha? Nlikumisije?babu!!!! aikent biliv mai aiz. . . umerud ati. . . . pole babu yangu mpendwa! welicome agein
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko my darling..... ila nna ukurutu waweza kuja kuniogesha? Nlikumisije?babu!!!! aikent biliv mai aiz. . . umerud ati. . . . pole babu yangu mpendwa! welicome agein
Niko my darling..... ila nna ukurutu waweza kuja kuniogesha? Nlikumisije?
mdada aanike chupi mvunguni afu uje kulalama hapa ana mifangazi
lazima ipate jua na upepo lol
khaaa, nakuvutia picha hapa Kingasti bila Kufuli.Mie nimeacha kuvaa kabisa hilo vazi kwa jinsi nnavyoliheshimu na kulithamini! Problem solved!
khaaa, nakuvutia picha hapa Kingasti bila Kufuli.
kwani chu*i ina nini cha ajabu isianikwe nje? Hujui inahitaji kupigwa na jua then ipigwe pasi ivaliwe ikiwa kabu na salama......
Hivi ukiziona zimetundikwa kariakoo unashtuka??????
teh teh teh naisubiri najua baada ya hii ya kuvuta picha we can go deeperKuvutia picha unalipia baba. Nakutumia invoice yako
Hebu kuwa mkweli. Huwa una unapiga pasi kofuli zako?
Kwanza hili vazi lipigwe marufuku. Linatuongezea joto tu.
Nimekumbuka lile lako la njano ulilokuwa unalianika toilet.... Lilikuwa linaniongezea nguvu ya kujamiiana na sabuni.
The secretary,naomba uwe unanifulia za kwangu.kwa hostel we ulitaka waanike wapi?kiafya inashauriwa kuanikwa sehemu isiyo na unyevu na hata kama ni nje ifunikwe na kitambaa laini chepesi ili kunusuru bacteria watokanao na vumbi au maji yaliyofuliwa.kutokana na kushauriwa kupigwa pasi mtu anarahisisha anaona bora aanike nje tu.wanapokosea ni kutozifunika mi nimesoma kwenye shule ambazo hukikutwa umeanika ndani makao yake mapya yatakuwa jalalani.
B*kini zipo...kikamba kimoja all the way!hahah
bikini mi sizipendi, nikivaa naona kama kuna kitu kinanichokonoa. Sijui ni ushamba!
The secretary,naomba uwe unanifulia za kwangu.
nimeshasema na kitambaa chepesi kinachoweza kupenyeza mwanga wa jua